KOZI YA UHARIRI, SENTENSI NA USOMAJI PRUFU
Jifunze misingi ya sarufi, uakifishi sahihi, miundo ya sentensi, na stadi za uhariri wa miswada kwa kiwango cha kitaalam
TZS 2,000
16 lectures · 16m total
M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money or HaloPesa.
What you'll learn
- Kutambua na kuchambua sentensi mbalimbali kimuundo na kiuamilifu.
- Kutumiza alama za uakifishi kwa usahihi ili kuleta uangavu wa maana.
- Kutambua na kurekebisha makosa ya kitahajia, uakifishi na mantiki.
- Kuelewa hatua za usomaji prufu na uhariri wa miswada kitaalamu.
This course includes
- 16 articles
- Access on mobile and TV
- Closed captions
- Certificate of completion
Course content
Requirements
- Kifaa cha mawasiliano: Kompyuta au simu mahiri yenye intaneti kwa ajili ya kufuatilia masomo.
- Nidhamu ya kujifunza: Kujitolea kusoma na kufanya mazoezi ya vitendo ya uakifishi, sarufi na uhariri.
- Kalamu na daftari: Vifaa vya kuandalia na kufanyia masahihisho ya mazoezi ya miswada wakati wa masomo.
Description
Who this course is for
- Waandishi chipukizi wanaotaka kuandika na kuchapisha vitabu vyao vya kwanza kwa ubora unaotakiwa.
- Wanafunzi na walimu wanaotaka kuboresha uwezo wao wa kisarufi, uakifishi, na uhariri wa maandishi.
- Watafsiri na wahariri wa makala wanaotaka kujua misingi thabiti ya kusoma prufu na kusahihisha miswada.
Reviews
Only learners enrolled in this course can leave a review.
Loading reviews…
Instructor

2 courses • 3 learners
Kama nyuki anayezunguka takribani maua 3000-4,000 ili kutengeneza mililita moja ya asali ambayo mnywaji anaweza kunywa mara moja na kuimaliza, vivyo hivyo waandishi huzunguka vyanzo vingi vya maarifa na tafsiri wakikusanya vipande vidogo vya hekima na kuviunganisha kwa juhudi kubwa, na msomaji hunufaika kwa kitabu kimoja ambacho anaweza kukisoma na kukimaliza mara moja; hivyo, mfano huu unatosha kuwa motisha kwa wenye akili, na unafupisha kwa uwazi faida ya kusoma na kunufaika kutoka kwenye vitabu. Khalifa Loishorwaki Simion alizaliwa Arusha, Tanzania, na kwa sasa anaishi jijini Dar es Salaam. Ni mhitimu wa shahada ya kwanza kutoka Chuo Kikuu cha Al-Azhar, Cairo, Misri (mwaka 2020) – moja ya vyuo vikongwe na vyenye heshima kubwa zaidi duniani katika masomo ya dini ya Kiislamu. Elimu hii imemjengea msingi imara wa kuchambua na kufundisha masuala ya kidini kwa umahiri na uaminifu.