
Msahafu wa Mistari 16
Arabic · PDF · 20 pages · Updated November 2026
Free
Jipatie Juzuu ya 2 bure, soma na utuombee dua tupo hapa kwa ajili yako kuhakikisha unajisomea na kujipatia kila kitu unachohitaji katika dini yako. Soma kwa jina la Mola wako ambaye ameumba kila kitu. Soma na Mola wako ni mkarimu. Ambaye amemfundisha mwanadamu kuandika kwa kalamu. Amemfundisha mwanadamu asiyoyajua. Mbora wenu ni yule aliyesoma Qurani na akaifundisha

Volunteer
Mimi ni mtu mwenye kujitolea kwa dhati katika kusambaza elimu na mafundisho ya Kiislamu. Kupitia masomo, makala, na machapisho mbalimbali, nina lengo la kuwafikia Waislamu na jamii kwa ujumla ili kuimarisha uelewa sahihi wa Dini yetu, maadili mema, na misingi ya Kiislamu. Karibu tujifunze na kukua pamoja katika njia ya elimu yenye manufaa hapa SADM Bookstore.
Visit Sumahya Zaharani's shop →