• About Us
  • Contact Us
  • Privacy Policy
  • Teach & Sell
SADM BookstoreSADM Bookstore
  • Courses
  • 🎧Audiobooks
  • Authors
  • My learning
SADM BookstoreSADM BookstoreSADM Bookstore

SADM Bookstore is a Tanzanian online bookstore where authors and readers meet. Find ebooks, audiobooks and courses in Kiswahili and English.

Pay with mobile money, download instantly, and get friendly help from our team whenever you need it.

Quick Links

About Us
Contact Us
FAQ
Verify a certificate
Instructor Community
Return Policy
Terms & Conditions
Advertise With Us

Contact

Email: sadmbookstore@gmail.com

Phone: +255 757 100 491

Address: Dar es Salaam, Tanzania

© Copyright 2026 - SADM BookstoreMade with in Dar es Salaam
Wasifu wa Imamu Shafii (Allah amrehemu)
Kiswahili

Wasifu wa Imamu Shafii (Allah amrehemu)

Created by Sheikh Khalifa L. SimionNo reviews yet

Kiswahili · PDF · 27 pages · Updated September 2026

TZS 1,000

Read Sample

About this book

Imam Shafii Safari ya Elimu na Hekima Kitabu hiki kinakupeleka katika historia ya kipekee ya ImamuShafii (RA), mmoja wa maimamu wakubwa wa fiqh na turāth ya Kiislamu. Ndani yake utakuta:

Historia ya maisha yake: kuzaliwa Gaza, kukulia Makkah, safari zake za elimu Madina, Iraq na Misri.

Safari ya kielimu: walimu wake mashuhuri, uhusiano wake na Imamu Mālik, na mchango wake katika kuunda misingi ya fiqh.

Mafanikio yake makuu: kuandika Al‑Risālah na kuanzisha madhhab ya Shafii moja ya misingi minne mikuu ya fiqh ya Kiislamu.

Mashairi na maneno ya hekima: yanayofundisha subira, elimu, urafiki wa kweli na maadili ya juu.

Urithi wake wa kielimu: namna wanafunzi wake walivyotangaza elimu yake na kuifanya kuwa rejea ya kudumu kwa Waislamu duniani.

Kitabu hiki ni rejea bora kwa mwanafunzi wa fiqh, mwalimu wa dini, na yeyote anayetamani kugusa hekima ya Imamu Shafii. Pata nakala yako leo na uguse safari ya elimu na urithi wa kudumu.

Book details

Pages
27
Format
PDF
Language
Kiswahili
Published
September 2026
Genres
Kiswahili, Islamic Books, History (Historia)

About the author

Sheikh Khalifa L. Simion

Guidance Cordinator

Kama nyuki anayezunguka takribani maua 3000-4,000 ili kutengeneza mililita moja ya asali ambayo mnywaji anaweza kunywa mara moja na kuimaliza, vivyo hivyo waandishi huzunguka vyanzo vingi vya maarifa na tafsiri wakikusanya vipande vidogo vya hekima na kuviunganisha kwa juhudi kubwa, na msomaji hunufaika kwa kitabu kimoja ambacho anaweza kukisoma na kukimaliza mara moja; hivyo, mfano huu unatosha kuwa motisha kwa wenye akili, na unafupisha kwa uwazi faida ya kusoma na kunufaika kutoka kwenye vitabu. Khalifa Loishorwaki Simion alizaliwa Arusha, Tanzania, na kwa sasa anaishi jijini Dar es Salaam. Ni mhitimu wa shahada ya kwanza kutoka Chuo Kikuu cha Al-Azhar, Cairo, Misri (mwaka 2020) – moja ya vyuo vikongwe na vyenye heshima kubwa zaidi duniani katika masomo ya dini ya Kiislamu. Elimu hii imemjengea msingi imara wa kuchambua na kufundisha masuala ya kidini kwa umahiri na uaminifu.

Visit Sheikh Khalifa L. Simion's shop →


Related Books